Kuna uhusiano gani kati ya haja kubwa na kufikiria?

Kuna uhusiano gani kati ya haja kubwa na kufikiria?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Naandika huu uzi nikiwa eneo la tukio (chooni), nimekuwa nikihisi haja kubwa lakini baada ya kwenda msalani kushusha madini, nikianza kufikiria / kutafakari mambo mengine tu baaasi...ngoma haishuki, inabidi nijitokee zangu nje tu.

Ila nikiingia na nikaconcentrate on what is happening...wala sihangaiki, madini yanashuka kiulaini. Na ni tangu kitambo tu.

Hebu nyie wanabailojia mtujuze kinachoendelea.
Asanteni.
 
Heeeee kumbe nya siku hizi ni madini....

Sorry sijajibu swali lako
 
Haaaahaaaaahaaaaah fikra nyingine hizi bhana!!
 
Mleta post unaakili za kijinga kama za yule aliyeteuliwa juzi kuwa mkuu pale Kinondoni
 
Mpffuuuuu!!! nilikUwa najiuliza haruffu Ya kinyesi imetoka wapi kumbe uko uNakun.@-ya?!
 
kutokana na ukinya unakua unafikiria sana inabidi wanafunzi wawe wanafanya mtihani wakati wanakunya
 
Wenzako wanatafuta madini watengeneze mkwanja wewe unaenda kuyatupa chooni,we kweli mburura
 
Naandika huu uzi nikiwa eneo la tukio (chooni), nimekuwa nikihisi haja kubwa lakini baada ya kwenda msalani kushusha madini, nikianza kufikiria / kutafakari mambo mengine tu baaasi...ngoma haishuki, inabidi nijitokee zangu nje tu. Ila nikiingia na nikaconcentrate on what is happening...wala sihangaiki, madini yanashuka kiulaini. Na ni tangu kitambo tu.

Hebu nyie wanabailojia mtujuze kinachoendelea.
Asanteni.

Mbona jibu tayari umepata tena kwa kufanya utafiti sasa unauliza nini?! Biology ni compulsory o-level hivyo nawe ni mwana-biolojia!!
 
Hujamaliza utafiti bado. Kajaribu kunya kichakani badala ya chooni uone matokeo yakoje alafu Njoo utijulishe
 
Kwa wenzetu wale wa mboga saba na vitu laini kwenda haja kubwa kwao ni starehe kubwa na ndio wanapofikiria mambo yao ya msingi huku wakiburudika....kwa wakina sisi tunaoshindia mapande ya mihogo uchungu wa kwenda haja kubwa ni kama tunajifungua leba kutokana vitu vigumu tunavyokula.....
 
yes thats real mambo yote tunafanya they depend what we think that means brain inclusive
 
Back
Top Bottom