Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Naandika huu uzi nikiwa eneo la tukio (chooni), nimekuwa nikihisi haja kubwa lakini baada ya kwenda msalani kushusha madini, nikianza kufikiria / kutafakari mambo mengine tu baaasi...ngoma haishuki, inabidi nijitokee zangu nje tu.
Ila nikiingia na nikaconcentrate on what is happening...wala sihangaiki, madini yanashuka kiulaini. Na ni tangu kitambo tu.
Hebu nyie wanabailojia mtujuze kinachoendelea.
Asanteni.
Ila nikiingia na nikaconcentrate on what is happening...wala sihangaiki, madini yanashuka kiulaini. Na ni tangu kitambo tu.
Hebu nyie wanabailojia mtujuze kinachoendelea.
Asanteni.