Kuna uhusiano gani kati ya Kuku na Mnafu?

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
1,691
Reaction score
2,967
Recently years kumekuwa na huu mchanganyiko wa mboga Kuku na mnafu/ mnavu kwenye maeneo ya kula. binafsi mimi siipendi hii mboga ya mnafu na imenipelekea kuuliza swali kwamba imekwaje kuku akachanganywa na mnafu??

Yani napenda kujua mnafu umefuata nini kwenye kuku?
IMG_8792.jpg
 
View attachment 2158489
Mnafu wa Dar haukistahili kuitwa mnafu. Nenda mkoa wa Kilimanjaro ndiyo utakuta mnafu original. Una test nzuri sana na sio kama huu wa Dar.
 
Iringa unaitwa Mhaka, ni taste nyingine na ni balaa. Sijui huo wa Kilimanjaro kama ni as natural as that one in Iringa
 
... hata utaratibu wa kitimoto kuchanganywa na mchicha ulianzia Arusha; kule ukiagiza kitimoto automatically inakuwa imechanganywa na mchicha.

The same kuku mix with mnafu sijui mnavu imeanzia huko kabla ya kuwa de facto standard maeneo mengine ya nchi.
 
Mhaka. Ukipata ule OG kabisa ni hatari na nusu. Yaani ukitowezea tonge moja kwenye mhaka, then linalofuata utowezee kwenye maharage, hili la maharage utadhani umetowezea kwa sukari.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Recently years kumekuwa na huu mchanganyiko wa mboga Kuku na mnafu/ mnavu kwenye maeneo ya kula. binafsi mimi siipendi hii mboga ya mnafu na imenipelekea kuuliza swali kwamba imekwaje kuku akachanganywa na mnafu??

Yani napenda kujua mnafu umefuata nini kwenye kuku?
View attachment 2158489
Shida yangu mimi siyo uhusiano uliozorota kati ya kuku na mnafu. Shida yangu ni huto tu-wali kiduchu. Yaani mimi Ngosha unategemea nishibe kwa huo wali unaohesabika kirahisi? Ukimtengea wali huo mwanangu Butabontemi,anayesoma darasa la pili,atalia kabla hajaanza kula maana atajua umeamua kumlaza njaa makusudically.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida yangu mimi siyo uhusiano uliozorota kati ya kuku na mnafu. Shida yangu ni huto tu-wali kiduchu. Yaani mimi Ngosha unategemea nishibe kwa huo wali unaohesabika kirahisi? Ukimtengea wali huo mwanangu Butabontemi,anayesoma darasa la pili,atalia kabla hajaanza kula maana atajua umeamua kumlaza njaa makusudically.
... starch ni bomu moja hatari kwa afya za wananchi. Mamlaka husika zimelala; wananchi waelimishwe kuhusu chakula bora kulinda afya zao.
 
haya mambo ya kuchanganya changanya vyakula yaliletwa na watu wa kaskazini, kuna makande, rosholo, mseto, kitmoto na mchicha, n.k

nadhani wanafanya hivyo kwasababu labda hawana muda na mambo ya jikoni au hawajui kupika.
 
... starch ni bomu moja hatari kwa afya za wananchi. Mamlaka husika zimelala; wananchi waelimishwe kuhusu chakula bora kulinda afya zao.
Naona kama una point kwa mbali mwana. Hebu fafanua starch ina shida gani na pia diet yangu inapaswa iweje ili niepuke hilo bomu. Mi msukuma ninachojua huwa ni kushindilia msosi tu.
 
Shida yangu mimi siyo uhusiano uliozorota kati ya kuku na mnafu. Shida yangu ni huto tu-wali kiduchu. Yaani mimi Ngosha unategemea nishibe kwa huo wali unaohesabika kirahisi? Ukimtengea wali huo mwanangu Butabontemi,anayesoma darasa la pili,atalia kabla hajaanza kula maana atajua umeamua kumlaza njaa makusudically.
Yaani nilikuwa najiuliza hivyo vimboga vidogo vyeupe ni mboga gani? Kumbe ni tu-wali! Sasa vya Nini hapo?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
... starch ni bomu moja hatari kwa afya za wananchi. Mamlaka husika zimelala; wananchi waelimishwe kuhusu chakula bora kulinda afya zao.
Hili hawalijui. Wanatafuta sifa kwenye kujenga hospitali badala ya kufanyia kazi visababishi. Huwezi kusikia kiongozi akikemea matumizi ya sembe au kuhamasisha mlo kamili. Wanahamasisha mazoezi na jogging ili waone misambwanda na wadada ili wapate madanga na baada ya jogging ni kufukia chapati, sembe, K-vant, Energy, Pepsi, Coca n.k. siku hizi mtu kitangaza kwamba anaumwa shinikizo au kisukari ni kama sifa.
 
... Hatari sana ndugu yangu. Presha, visukari, na stroke are the main causes. Life style including dietary composition is the main contributor sio mijini wala vijijini hali ni mbaya.

Siku hizi hakuna cha magonjwa ya matajiri; kila mtu anapigwa. Bora hata hao matajiri have access to best health facilities ole wetu wanyonge kazi tunayo.
 
Back
Top Bottom