Kuna uhusiano gani kati ya Kuku na Mnafu?

Yaani nilikuwa najiuliza hivyo vimboga vidogo vyeupe ni mboga gani? Kumbe ni tu-wali! Sasa vya Nini hapo?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mkuu, mi nasema maisha siyo magumu ila kuna watu wanatufanya tuyaone magumu. Imagine, ili nishibe mimi huwa naagizia sahani 2 za namna ile (rejea picha ya juu) hapo ndo najisikia walau kidogo kuwa nimekula.
 
Nataka nianze kupunguza mambo ya wanga
... starch ni bomu moja hatari kwa afya za wananchi. Mamlaka husika zimelala; wananchi waelimishwe kuhusu chakula bora kulinda afya Nataka
 
Shida yangu mimi siyo uhusiano uliozorota kati ya kuku na mnafu. Shida yangu ni huto tu-wali kiduchu. Yaani mimi Ngosha unategemea nishibe kwa huo wali unaohesabika kirahisi? Ukimtengea wali huo mwanangu Butabontemi,anayesoma darasa la pili,atalia kabla hajaanza kula maana atajua umeamua kumlaza njaa makusudically.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Shida yangu mimi siyo uhusiano uliozorota kati ya kuku na mnafu. Shida yangu ni huto tu-wali kiduchu. Yaani mimi Ngosha unategemea nishibe kwa huo wali unaohesabika kirahisi? Ukimtengea wali huo mwanangu Butabontemi,anayesoma darasa la pili,atalia kabla hajaanza kula maana atajua umeamua kumlaza njaa makusudically.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sister acha hasira. Kwanza unge define what is mnafu, ungetoa introduction then ndo uje ushuke points zako na kufanya conclusion. Unaongelea mnafu kama vile wote tupo jikoni pamoja? Hujatutendea haki wadau....

Recently years kumekuwa na huu mchanganyiko wa mboga Kuku na mnafu/ mnavu kwenye maeneo ya kula. binafsi mimi siipendi hii mboga ya mnafu na imenipelekea kuuliza swali kwamba imekwaje kuku akachanganywa na mnafu??

Yani napenda kujua mnafu umefuata nini kwenye kuku?
View attachment 2158489

Hapa umeweka mboga tu ... Je hamna wali au ugali kulia hizi mboga ?
 
Recently years kumekuwa na huu mchanganyiko wa mboga Kuku na mnafu/ mnavu kwenye maeneo ya kula. binafsi mimi siipendi hii mboga ya mnafu na imenipelekea kuuliza swali kwamba imekwaje kuku akachanganywa na mnafu??

Yani napenda kujua mnafu umefuata nini kwenye kuku?
View attachment 2158489
Wanyaturu wa Ikungi "Vahi" wanauita 'mjimba nkuku" wakiwa na maana ya "mjimba"--mtoto na "Nkuku" ni kuku
 
Sister acha hasira. Kwanza unge define what is mnafu, ungetoa introduction then ndo uje ushuke points zako na kufanya conclusion. Unaongelea mnafu kama vile wote tupo jikoni pamoja? Hujatutendea haki wadau....

Kwanza mimi sio sister. Pili unataka niuongelee mnafu kwa biological Classification au? maana ni mboga na jina lake ndio hilo
 
Mnafu/ mnavu wa Dodoma ni nouma na robotatu ni mchungu kama shubiri / alovera
 
Back
Top Bottom