Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Zinazingua sanaHuwa naona watu wakilewa wanaanza kuchana zile logo.Kuna uhusiano gani?
Walevi hebu nijibuni.
😁😁Ni kama wavuta fegi wakipukutisha lile jivu[emoji16]
[emoji1787][emoji1787] zinazinguaga nini ka mkubwaZinazingua sana
Bia kumi na sita? Unakunywa bia gani mkuu.Maana mimi nikipigaga bia tano tu nakuwa chakaliNipo ya 4 subiri zikifika 16 nitapiga picha kama nachana label au laa
Nakunywa safari lager kubwaBia kumi na sita? Unakunywa bia gani mkuu.Maana mimi nikipigaga bia tano tu nakuwa chakali
Huwa naona watu wakilewa wanaanza kuchana zile logo.Kuna uhusiano gani?
Walevi hebu nijibuni.
Huwa naona watu wakilewa wanaanza kuchana zile logo.Kuna uhusiano gani?
Walevi hebu nijibuni.
Zinazingua sana