Kuna uhusiano gani kati ya kulewa na kuchana karatasi

Kuna uhusiano gani kati ya kulewa na kuchana karatasi

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Posts
1,037
Reaction score
1,974
Huwa naona watu wakilewa wanaanza kuchana zile logo. Kuna uhusiano gani?

Walevi hebu nijibuni.
 
Ni pozi tu au niseme ni aina ya kutuliza akili pale mtu anapohisi kuelemewa na maji so anapofanya hivi ana-balance kati ya akili sahihi na akili ya kilevi that's why mnywaji anaekaa anashangaa shangaa ukimstukiza swali la ghafla ni rahisi sana kukuuliza tena ili apate uhakika wa ulichouliza ila anayechezea chezea chupa ukimuuliza swali hilo hilo mara moja atakujibu.

Hiyo inadhihirisha na kuthibitisha kwamba akili yake muda wote inakuwa active.
 
Back
Top Bottom