Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,393 Reaction score 1,102 Feb 1, 2017 #1 Watu wanagombea mahindi ya kuchoma kama nyama! hii ni baada kunyesha mvua na kukata. Ningependa kujuwa, kuna uhusiano gani wa mvua na watu kula mahindi ya kuchoma?
Watu wanagombea mahindi ya kuchoma kama nyama! hii ni baada kunyesha mvua na kukata. Ningependa kujuwa, kuna uhusiano gani wa mvua na watu kula mahindi ya kuchoma?
KAYMALI Member Joined Oct 8, 2014 Posts 86 Reaction score 35 Jan 6, 2018 #2 Inasaidia kupasha joto, kama mvua imenyesha manake kuna baridi.
T Turudi pale Rau Madukani JF-Expert Member Joined Jan 16, 2016 Posts 2,339 Reaction score 5,112 Jan 6, 2018 #3 Sio mvua na mahindi tu, hata mvua na ngono kuna uhusiano mkubwa sana
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jan 6, 2018 #4 utashangaa jitu linakuja linasema kuna uhusiano gani kati ya mahindi ya kuchoma na wanaume wa mkoani.
utashangaa jitu linakuja linasema kuna uhusiano gani kati ya mahindi ya kuchoma na wanaume wa mkoani.
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,813 Reaction score 21,807 Jan 6, 2018 #5 Kwanza Ushajiuliza kama kuna uhusiano gani kati ya kura uliyopiga 2015 na maisha uliyonayo sasa?
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Jan 6, 2018 #6 reyzzap said: Kwanza Ushajiuliza kama kuna uhusiano gani kati ya kura uliyopiga 2015 na maisha uliyonayo sasa? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
reyzzap said: Kwanza Ushajiuliza kama kuna uhusiano gani kati ya kura uliyopiga 2015 na maisha uliyonayo sasa? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]