Kuna uhusiano gani kati ya mahindi ya kuchoma na mvua?

Kuna uhusiano gani kati ya mahindi ya kuchoma na mvua?

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,393
Reaction score
1,102
Watu wanagombea mahindi ya kuchoma kama nyama! hii ni baada kunyesha mvua na kukata. Ningependa kujuwa, kuna uhusiano gani wa mvua na watu kula mahindi ya kuchoma?
 
Inasaidia kupasha joto, kama mvua imenyesha manake kuna baridi.
 
utashangaa jitu linakuja linasema kuna uhusiano gani kati ya mahindi ya kuchoma na wanaume wa mkoani.
 
Kwanza Ushajiuliza kama kuna uhusiano gani kati ya kura uliyopiga 2015 na maisha uliyonayo sasa?
 
Back
Top Bottom