Kuna uhusiano gani kati ya maji na show jukwaani

Ninavyofahamu mimi baada ya kucheza muziki watu wanashikwa na kiu ndio maana wanamwagiwa maji. Maswali mengine kama haya hakuna haja ya kuanzisha thread, nitumie PM tu nitakujibu
 
Ningekujuwaje [emoji1787][emoji1787][emoji109]
Ninavyofahamu mimi baada ya kucheza muziki watu wanashikwa na kiu ndio maana wanamwagiwa maji. Maswali mengine kama haya hakuna haja ya kuanzisha thread, nitumie PM tu nitakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sababu nyingi, Ila sababu kuu ni mambo ya kishirikina..
 
Kwani bulldozer mwamposa anauzaga maji gani yale? itakuwa wanatumia kubariki mashabiki zao... Usiwaamini kabisa hawa wanasanaa wanaokuwa na chupa za maji afu hawayanywi zaid ya kuwamwagia mashabiki
 
Kama watumishi wanavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…