Kuna uhusiano gani kati ya maji na show jukwaani

Kuna uhusiano gani kati ya maji na show jukwaani

Ninavyofahamu mimi baada ya kucheza muziki watu wanashikwa na kiu ndio maana wanamwagiwa maji. Maswali mengine kama haya hakuna haja ya kuanzisha thread, nitumie PM tu nitakujibu
 
Kuna sababu nyingi, Ila sababu kuu ni mambo ya kishirikina..
 
Kwani bulldozer mwamposa anauzaga maji gani yale? itakuwa wanatumia kubariki mashabiki zao... Usiwaamini kabisa hawa wanasanaa wanaokuwa na chupa za maji afu hawayanywi zaid ya kuwamwagia mashabiki
 
Mapendo! Bwana Yesu Asifiwe Amani Iwe Nanyi
Matumaini Yangu Weekend Inakwenda Vyema Wakuu.

Ebana Mm Na Maswali Yakizushi Nimekuwa Nikifatilia sana Show Mbali Mbali Si Tanzania tu Hata Nje Ya Tanzania

Marakadhaa Wasanii Wakipanda Majukwani Kutumbuiza Sijui ni vibes au Nini

Hufungua Chupa Za Maji Na Kuwamwagia Mashabiki !!

Je hii Inauhusiano upi Kati Ya Show Na Maji Katika Jukwaa??

Je Ni Vibes Kuwainua Watu Au Ndio Taratibu Zenyewe ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama watumishi wanavyofanya
 
Back
Top Bottom