matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kuwa na msimamo mkali na kuwa na Uchumi imara ni vitu viwili tofauti then katika Maisha kila mtu anamtazamo wake that is way wewe waweza muona mtu ni masikini ila yeye akawa anakuona wewe ndo masikini so usiwe mtu wa mjinga kupoteza Muda kuchunguza lifestyle ya mtu ishi Maisha yako utafanikiwa.Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists)
Hawa wapo lwenye Ulokole, Usabato, Ukatoriki, Uislam hata Umizimu.
Ila katika kila imani kundi hili huwa linaonekana ni nyonge sana kwa kipato na kiuchumi.
Wengi wanategemea kupigwa tafu na kundi kubwa la watu ambao mambo ya imani hawayachukulii kama vita. Watu wenye msimamo wa kati. Na ndio watu ambao wanaomekana wako vizuri kipesa.
Unadhani ni kwa nini inakuwa hivi?
Nini chanzo.
Mambo ya kidunia hasa uchumi, sio kipaumbele chao, mawazo yao hayapo duniani.Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists)