Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kwa utafiti wangu uliokamilika hivi majuzi nimegundua kua, wamiliki wa shule hii ya Nangwa secondari na Jeffery academy ya Arusha , kuna siri kubwa nyuma ya ufadhili wa kwa watoto wa wafugaji wa kimasai ambao wamekua wakiwatoa katika familia zao za kimaskini , kuwapa elimu, kuwafundisha mambo mabali mbali ikiwemo , dini pamoja na mbinu za mapambano..yaani martial arts..baada ya wahitimu kumaliza masomo yao kwa ufadhili wa hawa mabwana wamekuwa wakipewa ajira katika makampuni ya hawa mabwana..wanao kataa kuendelea na ufadhili wao, wamekuwa wakirudishwa mitaani bila muendelezo wowote..kuna siri kubwa inaendelea, wahusika Mulikeni hizi shule mbili..hatari inakuja,...nazungumzia shule ya nangwa ya binafsi sio ya serikali..Nawasilisha..anayetaka kusikia hutaki acha...