Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Maoni ya members yatanifanya nichukue uamuzi gani maana napenda akili iwepo kichwani.😅Salaaam!!!
Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi??
naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
Hapana sio kweli kabisa.. Mabazazi wengi ni full kuwaza ngono ngono tuu, akili yao inakuwa imeshatekwa huko ndio maana hawaitwi ma genius bali majanabaSalaaam!!!
Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi??
naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
Mwanadamu huwezi kujiweka mbali na kufanya mapenzi Ni tendo la kibaiolojia kwa kila mwanaume na mwanamke aliyekamilika kiakili na kimwili.Ngono inaondoa uwezo wa kufikiri
Wavumbuzi wote wa kisayansi walijiweka mbali na ngono
Angalia viongozi wa kiafrika wengi wamewekeza kwenye ngono ndio maana hata nchi za africa zimedumaa
Kwa kuitumia Tanzania na vijana wake kama reference, sikubaliani na hiyo kauli.Salaaam!!!
Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi??
naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
kwanini?Kwa kuitumia Tanzania na vijana wake kama reference, sikubaliani na hiyo kauli.
sawa doktaKwa mujibu wa Dk.KENGE..
Ngono na Akili ni pete na kidole..bila Hisia ambazo zinatoka kwenye Akili hakuna ngono..Ngono ni matokeo ya CNS mfumo wa fahamu yani Neva
Dopamine ni hormone inayoupa mwili furaha..hivyo unapofikiria na kufanya Matusi hormone hii ya dopamine inazalishwa kwa wingiii mpaka ikifikia mwisho wa uzalishaji ndio wewe unasikia rahaa utamu wa bao.So itachukua tena dakika kadhaa ili dopamine ianze kuzalishwa upyaa na hapo ndio utaanza kupata hisia tena
Kwahiyo Ngono ni Akili na Akili ni ngono.Unashauriwa ufanye ngono kadri uwezavyo ni kwasababu ya kutoa hormone hiyo ambayo ndio inapunguza stress na depression hivyo kufanya ubongo kuwa uwezo zaidi wa kufikiri
Wanapenda sana ngono, lakini reasoning capacity yao ndogokwanini?