Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
- Thread starter
-
- #21
Kwa hamu na shauku kubwa, tunasubiri majibu kutoka kwa rafiki yako ili nasi tujue uhusiano wa kulia na music.Wimbo wa Bob Marley "Chances Are" huwa unanitoa machozi.
Yani hapa nimeanza kuusikiliza tu naona machozi yanaanza kunitoka. Imebidi niukatishe kabisa yani nimeshindwa kumaliza kusikiliza wote. Ni wimbo maalum ninaosikiliza kwenye misiba ya watu ninaowapenda.Bob Marley analalamika sana kuhusu huzuni katika maisha.
Ni mambo ya hisia zaidi. Dr Robert Sapolsky ameelezea kirefu sana katika kitabu chake "Behave: The Biology of Humans at Our Best and Worst"
Kuna bidada mmoja rafiki yangu alifanya Ph.D yake ya Clinical Psychology kwenye swali hili. Nitamuuliza kupata maoni ya kisomi.
Hisia unazo, labda kwako ni kwa kiwango kidogo. Binadamu yoyote yule lazima uwe na hisia. Kwani mkeo/demu wako ulimpata pasipo kuwa na hisia naye?
Mpemba huwa analia?
Hatulii!Sikujua mkuu,kumbe hawalii Hawa wapemba!
vinanda vile ndo vinapelekea ivoMimi huwa inanitokea Sana ..sijui kwanini na mbaya zaidi mpaka kwenye nyimbo za tamthilia za wakorea na wafilipino nyimbo zao huniliza ingawa sijuagi wanaimba vitu gani😂
Tupeane uzoefu mkuu. Ni tiba kwa maradhi gani?muziki ni tiba pia
Dah umetisha,hujawahi hata kuona muvi ambayo ilikukumbushia mambo flan ivi katika maish yako?Mi sinaga hizo mnaita hisia.
Dah umetisha,hujawahi hata kuona muvi ambayo ilikukumbushia mambo flan ivi katika maish yako?