Kuna uhusiano gani kati ya sura/muonekano wa mtu na matendo yake?

Lili li mwita li jizi jizi tu sijui limeingiaje kwenye siasa. Sura ngumu kama uji wa mtama.
 
Kwa mwanamke ukimuona,Kila ukimwangalia hakuangalii anachezesha macho huyo no malaya,na jeuri,maana malaya hawi mstaarabu.
 
Kuna dada alikua na nyodo Sana ya kuchagua mume,alisema anataka mpole na mcha Mungu,...Sasa kampata mwenye sura ya upole kwelikweli kinachomkuta ndani ya ndoa Sasa,.....
 
Lol kwahiyo observation yako imefika hadi xvideos platform 🙂 🙂
 
Nilichogundua ni kuwa kuna ku take advantage ya muonekano kwa Wahusika.

Kwa mfano Binti anayejijua ana uzuri mara nyingi kuna aina fulani ya maisha anayojiweka tofauti na yule anayejijua hata mvuto wa kumshtua yeyote.

Vivyo hivyo kwa Mwanaume mwenye umbo kubwa automatically atajiweka kama Mtu anayejiamini ukilinganisha na yule mwenye mwili mdogo.
 
Mfano Mia Khalifa [emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka room mate wa chuo alikuwa anaogopa sana watu wa Mus... anasema toka akiwa mdogo aliaminishwa sura mbaya na ukatili huenda pamoja reference alikuwa ana pewa anaambia angalia watu wa Mus.... . Sura zao na ukatili especially dhidi ya wanawake. Alikuwa akiwaona tu anakimbia.
Baadae tuka bidi tumueleweshe ni uongo na yeye ashakuwa mtu mzima ataona ukatili unafanyikapopote pale duniani hata kwa wenye sura nzuri
 
Muonekano wa mtu hutafasili tabia au matendo ya mtu kwa zaidi ya 75%

Iangalie kwa makini sana sura ya Tundu Lissu na hasa wakati akiongea, utabaini unafiki wa wazi alionao
 
Ukute mtu mrefu mnene mweusi mwenye sura ngumu macho mekundu.
Jambo la kwanza kumuwazia ni jambazi,katili muuwaji ana roho mbaya
 
Umenipeleka hapo jirani kwa bwana paul, maana huyo jamaa ni over devil ukimkela popote ulipo atakufuata na kukuondoa dunia.
Kuna watu hawana miili, wembamba ila makatili,unakuta mtu bonge ila mwoga.
 
Muonekano wa mtu hutafasili tabia au matendo ya mtu kwa zaidi ya 75%

Iangalie kwa makini sana sura ya Tundu Lissu na hasa wakati akiongea, utabaini unafiki wa wazi alionao
Duuh, haya bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…