Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Me nadhani ktk hali ya kawaida,viungo vya mwili vinakuwa na uwiano fulani...kwa mfano,ni mara chache kuona mtu mfupi,mwenye vidole virefu na mambo kama hayo... Huo ukubwa au udogo,unapimwa kwa kutumia kizio gani...manake,we unaweza sema,ana nanii kubwa,kumbe we yako ndo ndogo...kwa hiyo,hivyo viungo vya mwili vinakuwa na uhusiano ktk ukubwa!
Kwa hiyo unataka kuniambia masista duu hawawapendi mashotiii kwa kuwa wana vibamia