Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Me nadhani ktk hali ya kawaida,viungo vya mwili vinakuwa na uwiano fulani...kwa mfano,ni mara chache kuona mtu mfupi,mwenye vidole virefu na mambo kama hayo... Huo ukubwa au udogo,unapimwa kwa kutumia kizio gani...manake,we unaweza sema,ana nanii kubwa,kumbe we yako ndo ndogo...kwa hiyo,hivyo viungo vya mwili vinakuwa na uhusiano ktk ukubwa!
daktari ni nani sasa hapa?
Eti kuna ukweli wowote juu ya hili, kuwa watu wembamba na wenye miili midogo viungo vyao vya uzazi vinakuwa ni vikubwa zaidi ukilinganisha na watu wanene na wenye miili mikubwa?
NILIWAHI KUSIKIA SIZE YA MDOMO IPO SAWA NA KULE :becky:LABDA TUSUBIRI WATAFITI WATUPE DATA😕
Hili swali litaulizwa mara ngapi humu?
Upana/mzunguko inch 4 urefu nchi 5.5.