BUCHANAGANDE JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,512 Reaction score 480 Jul 22, 2012 #21 Hebu uliza hao wanaochangia kama wameolewa na Elimu zao za Degree au Masters. Mwanamke kaumbiwa kiburi fulani hasa anapokuwa na kitu kizuri. Mfano mwingine UNADHANI NI KWA NINI WANARINGA HASA WALE AMBAO WANAJITAMBUA NI WAZURI?
Hebu uliza hao wanaochangia kama wameolewa na Elimu zao za Degree au Masters. Mwanamke kaumbiwa kiburi fulani hasa anapokuwa na kitu kizuri. Mfano mwingine UNADHANI NI KWA NINI WANARINGA HASA WALE AMBAO WANAJITAMBUA NI WAZURI?