BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 480
Hebu uliza hao wanaochangia kama wameolewa na Elimu zao za Degree au Masters. Mwanamke kaumbiwa kiburi fulani hasa anapokuwa na kitu kizuri. Mfano mwingine UNADHANI NI KWA NINI WANARINGA HASA WALE AMBAO WANAJITAMBUA NI WAZURI?