Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Kumesikika stori nyingi kuwa unapoenda kwa mtalaam na unapotoa kuku/mbuzi/ng'ombe etc kama sadaka pale unapotaka mafanikio ya jambo fulani kinachofatia kiroho ni wewe kukabidhi familia yako katika mikono ya giza, yani hatma ya utimamu au uzima wa mke au wanao unanaweza kuwa affected na zile beings zinazo kupa msaada huo.
Is this real? Or myth? Misunderstood?
Is this real? Or myth? Misunderstood?