Kuna uhusiano kati ya haya yanayomkuta Manji na Yanga?

Hapo anazungumzia Biashara aliyowekeza , ndio maana unaona anahitaja Yanga Sana . Jaribu Kujiongeza basi hata Kidogo.

Watu wanahofia CV zao / reputation Kuingia kwenye List Mbaya.
Haya mambo yanafuatiliwa sana Kimataifa , pamoja na Bussines Partners.

Kama alivyosema , Kesho Au Kesho Kutwa atashindwa Kutua Comoro na Yanga , Watasema Anaingiza Unga.


MOD uje Ufute na Hii thread . Nishamjibu.
 
Hoja yako haina mashiko bado kuna watu wanaakili ya kufikiri kuliko ww kaa kimya mambo yake binafsi tuache kutafuta maendeleo ya timu tumkumbatie yeye ama arupishe tujenge Yanga yetu
 
Hoja yako haina mashiko bado kuna watu wanaakili ya kufikiri kuliko ww kaa kimya mambo yake binafsi tuache kutafuta maendeleo ya timu tumkumbatie yeye ama arupishe tujenge Yanga yetu
Mkuu mbona kama upeo wako wa kuchanganua mambo haufanani na huko unapo'claim ku'belong...
Wewe cyo wa upande ule wa 2 kweli kama Mwenyekiti wenu (Rage) alivyowahi kuwaita
 
Kibaraka wa Manji kazini, ndio yaleyale ya 'brand'
 
Uchafu wakiongozi huchafua taasisi,nilqzima manji alinde heshima ya kwake na yanga kama taasisi
 
Kibaraka wa Manji kazini, ndio yaleyale ya 'brand'

Kulikuwa na ugumu wowote kuwapeleleza ....kuwafatilia kwa siri....kisha kuwakamata wakiwa na ushahidi?

Nadhani baada ya hapo tangaza sasa.....uone kama utalaumiwa

Njia hii ya kutangaza kwanza kisha upelelezi sijuwi ni utalaam wa wapi.....kushitua mwizi halafu unamwabia kesho nakukuja kukupekuwa!

Kwa wafanyabiashara nikuuwa biashara ya mtu....kuuwa ajira.....kuuwa familia halafu asubuhi unasema hatukupata ushahidi....huo uchafuzi unaufidiaje? kwanini usianze nakujiridhisha kwanza kiupelezi kabla hujatangaza?
 

Mkuu hukusikia kuwa mpka kumtaja mtu wanajua kilakitu toka kwake !!
 
Mkuu hukusikia kuwa mpka kumtaja mtu wanajua kilakitu toka kwake !!

Unamtaja ili iweje......kutaja kisheria nikosa maana mahakama ndio inayothibitisha

Makonda sio jaji....sio hakimu....mahakama ipi imetoa hukum nakuthibitisha. ikatokea wameshinda.....nini madhara yake!

Mkuu
Nia ya makonda njema......mikakati na taratibu za hovyo haijawahi kutokea
 
Kwani alipomtaja alimtaja kama mwenyekiti wa yanga au Manji km Manji?...anajaribu kutafuta followers tu hatakiwi kuihusisha club na mambo take binafsi kazingua
 
Wanajamvi,, Jana kuna orodha ya watu takribani 65 Mubasharah iliwekwa hadharani kuonyesha jamii kuwa watu hawo wanajihusisha kwa namna moja au nyingine
,, MIHADARATI ,,

Nisicho muelewa Manji ni kuhusisha tuhuma dhidi yke na Club ya Yanga,, kwamba yeye ni mwenyekiti wa klub kubwa hivyo hapaswi eti kuitwa kuhojiwa,,

Tuhuma zinapomkabiri mtu hazizingatii umaarufu au wadhifa wa mtu,, kwa haraka haraka nilikigundua kwa Manji ni kutaka aonewe huruma na kupandisha jazba kwa mashabiki wa klabu yke ili waone kama mwenyekiti wao kaonewa ikiwezekana wahamasishe fujo ili kupinga kutajwa kwake.

Wala Manji hapaswi kujipangia muda na sk ya kwenda pale Central,, anapaswa kutii mamlaka kaambiwa aende siku ya Ijumaa sio Alhamisi.Maana tumeambiwa tuzitii hizi mamlaka,,

Yeye kama ni Mwenyekiti wa Yanga,, bado anapaswa kukumbuka pia kuwa hii Yanga ipo ktk mkoa wa Dar,, na aliyetoa agizo hilo ndiye mkuu wa lpmkoa huu.

Leo nimeshangaa Nakala nyingi za gazeti la Jambo leo zikigawiwa bure ktk ofs nyingi za Umma,, makala nyingi zinaelezea huduma na mambo mbali mbali ya Manji,,

Kwanin haya magazeti yagawiwe bure leo na siyo kesho au juzi? HAPANA MANJI AFUATE TARATIBU AACHE HIZI FUJO ZA KWENDA KULIPOTI SK AMBAYO HAKUPANGIWA.
 
sasa mtu bado mahakama haijamthibitisha kama ni muhalifu
anaratiba zake kama leo ana muda kwanini asiende huko polisi?
kwani lengo si ni kuripoti ? sasa kama kesho alitakiwa asafiri kikazi ?
 
Kama nimemuelewa vizuri, hakukataa kuitwa polisi, bali njia iliyotumika, ukizingatia suala linalohusishwa na huo wito. Kwamba katiba inataka kila raia/mtu apewe heshima ikiwepo ya privacy, na jinsi wito ulivyotolewa ni kuchafuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…