pangapatuni muhanzagara
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 269
- 178
Naona mwenyekiti wetu amepaniki kiasi kwamba anahusisha mambo yqke binafsi na uwenyekitu je wanayanga tutaadhirika ama tujipange upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako haina mashiko bado kuna watu wanaakili ya kufikiri kuliko ww kaa kimya mambo yake binafsi tuache kutafuta maendeleo ya timu tumkumbatie yeye ama arupishe tujenge Yanga yetuHapo anazungumzia Biashara aliyowekeza , ndio maana unaona anahitaja Yanga Sana . Jaribu Kujiongeza basi hata Kidogo.
Watu wanahofia CV zao / reputation Kuingia kwenye List Mbaya.
Haya mambo yanafuatiliwa sana Kimataifa , pamoja na Bussines Partners.
Kama alivyosema , Kesho Au Kesho Kutwa atashindwa Kutua Comoro na Yanga , Watasema Anaingiza Unga.
MOD uje Ufute na Hii thread . Nishamjibu.
Mkuu mbona kama upeo wako wa kuchanganua mambo haufanani na huko unapo'claim ku'belong...Hoja yako haina mashiko bado kuna watu wanaakili ya kufikiri kuliko ww kaa kimya mambo yake binafsi tuache kutafuta maendeleo ya timu tumkumbatie yeye ama arupishe tujenge Yanga yetu
Mbona naona ww ndio KILAZA!!?Hoja yako haina mashiko bado kuna watu wanaakili ya kufikiri kuliko ww kaa kimya mambo yake binafsi tuache kutafuta maendeleo ya timu tumkumbatie yeye ama arupishe tujenge Yanga yetu
Cyo tu Kilaza ni MbumbumbuMbona naona ww ndio KILAZA!!?
Kibaraka wa Manji kazini, ndio yaleyale ya 'brand'Hapo anazungumzia Biashara aliyowekeza , ndio maana unaona anahitaja Yanga Sana . Jaribu Kujiongeza basi hata Kidogo.
Watu wanahofia CV zao / reputation Kuingia kwenye List Mbaya.
Haya mambo yanafuatiliwa sana Kimataifa , pamoja na Bussines Partners.
Kama alivyosema , Kesho Au Kesho Kutwa atashindwa Kutua Comoro na Yanga , Watasema Anaingiza Unga.
MOD uje Ufute na Hii thread . Nishamjibu.
Umelogwa Fikra WeweHoja yako haina mashiko bado kuna watu wanaakili ya kufikiri kuliko ww kaa kimya mambo yake binafsi tuache kutafuta maendeleo ya timu tumkumbatie yeye ama arupishe tujenge Yanga yetu
Kibaraka wa Manji kazini, ndio yaleyale ya 'brand'
Naona mwenyekiti wetu amepaniki kiasi kwamba anahusisha mambo yqke binafsi na uwenyekitu je wanayanga tutaadhirika ama tujipange upya
Kulikuwa na ugumu wowote kuwapeleleza ....kuwafatilia kwa siri....kisha kuwakamata wakiwa na ushahidi?
Nadhani baada ya hapo tangaza sasa.....uone kama utalaumiwa
Njia hii ya kutangaza kwanza kisha upelelezi sijuwi ni utalaam wa wapi.....kushitua mwizi halafu unamwabia kesho nakukuja kukupekuwa!
Kwa wafanyabiashara nikuuwa biashara ya mtu....kuuwa ajira.....kuuwa familia halafu asubuhi unasema hatukupata ushahidi....huo uchafuzi unaufidiaje? kwanini usianze nakujiridhisha kwanza kiupelezi kabla hujatangaza?
Mkuu hukusikia kuwa mpka kumtaja mtu wanajua kilakitu toka kwake !!
Hatuwezi hadhirika ila tuoneshe umoja kwa mwenyekiti wetuNaona mwenyekiti wetu amepaniki kiasi kwamba anahusisha mambo yqke binafsi na uwenyekitu je wanayanga tutaadhirika ama tujipange upya
Na hicho unachokiwaza ndicho alichokuwa anakitakaHatuwezi hadhirika ila tuoneshe umoja kwa mwenyekiti wetu