Kuna uhusiano kati ya haya yanayomkuta Manji na Yanga?

kitendo alichofanya manji kinaonyesha walakini ningemuelewa pale angesema amechafuliwa hivyo atadai fidia mahakamani lakini mara yanga mara agawe magazeti bure kujisafisha hii inaonyesha kuwa kuna ukweli ndani yake
 
[emoji28] [emoji28] [emoji134] [emoji134]
 
Huyu Baniani kapaniki kinoma sana.....Mbona wengine wametulia.....sio km muda hana....yeye anaona kadhalilishwa sana eti aende akapange foleni na makapuku......!sio hadhi yake
 
Binafsi sioni baya lolote manji alilolifanya mana kunakifungu cha sheria kina mlindi

Pia yeye kulihusisha hii jambo na yanga nadhan ni sawa maana ana reflect kablu ya yanga kama yeye akiwa mchafu vipi
hawo anawo waongoza je?

Therefore anakila sababu ya kutetea jina lake coz jina tu ni brand tosha
 
Manji mpuuzi kwenye hili swala la Yanga. Swala hili katajwa yeye binafsi hivyo haliusiani na Yanga. Yeye ndiye anaitia Yanga kwenye swala hilo ambalo ni kosa.
 
Manji mpuuzi kwenye hili swala la Yanga. Swala hili katajwa yeye binafsi hivyo haliusiani na Yanga. Yeye ndiye anaitia Yanga kwenye swala hilo ambalo ni kosa.
huoni kama kesho itaonekana club inadhaminiwa na muuza ngada?
 
huoni kama kesho itaonekana club inadhaminiwa na muuza ngada?
Ikithibitika kuwa kweli anajihusisha na ngada basi itabaki hivyo kwamba kwa muda mrefu kumbe jeuri ya club ilitokana na ngada.
 
kitendo alichofanya manji kinaonyesha walakini ningemuelewa pale angesema amechafuliwa hivyo atadai fidia mahakamani lakini mara yanga mara agawe magazeti bure kujisafisha hii inaonyesha kuwa kuna ukweli ndani yake

Msihamishe Magoli;
Mkuu wa Mkoa Kaitwa Mpumbavu na Manji na Leo alienda kuthibitisha hilo kesho ni Siku ya kuzungumzia Madai ya Madawa

Mie natembea na List of shame ya Chadema na Orodha ya Makonda. Ukiwemo kwny mojawapo ya hizo orodha sikupi kura yangu
 
Kama nimemuelewa vizuri, hakukataa kuitwa polisi, bali njia iliyotumika, ukizingatia suala linalohusishwa na huo wito. Kwamba katiba inataka kila raia/mtu apewe heshima ikiwepo ya privacy, na jinsi wito ulivyotolewa ni kuchafuana.
Mtuhumiwa unachagua njia ya kukufikisha polisi kweli?

Hebu wacha ,,maneno weka ukweli hapo,,
 
Hakusema kwamba kwa vile ni Rais wa Yanga hapaswi kuita kuhojiwa! Mkuu mbona unaongea tofauti wakati wote tuliona na kusikia Ile press conference?
 
Mtuhumiwa unachagua njia ya kukufikisha polisi kweli?

Hebu wacha ,,maneno weka ukweli hapo,,
Kwa mfano, angepigiwa simu au kutumiwa mtu, kwamba unahitajika kituo cha polisi siku na saa fulani, kwa nafasi yake katika jamii angetekeleza tu bila kulalamika kama hivi.
 
Kiukwel Manji abaki kama yeye aachane na Timu yetu kumbe aliku
Wa anaitaka Yanga kwa ajili ya kusafirishia sembe
Sasa hatumpi Timu yetu bora Mengi arudi mzalendo wetu
 
Sasa kama hausiki na hii biashara haramu,, Makonda kasema anahusika,, wasiwasi wake uko wapi,, haoni kama atajitangaza zaidi ikithibitika kuwa hausiki?
Mwenyekiti kapaniki sn,, leo kagawa magazeti yake bure page zote zinansifia yeye tu,,

Kwann hakugawa kabla ya huzi shutuma,,
Kaabiwa akaripot ijumaa yy analazimisha leo,, hivi bado hajajua kuwa MAKONDA ni bosi wake hapa Town,, anampangiaje kwa mfano muda wa kukutana na Boss wake,,
Kama kuna washauri wzr wa Manji wamshauri na kumweleza wazi wazi kuwa tuhuma hz zake hazihusiani kamwe na Yanga African yetu,,

Kama kweli yumo na ni muhusika basi asitegemee huruma ya wana Yanga kumkingia kifua,,

,,Wasandawe wanasema hivi,, UTAJIBEBA,, wala Yanga Haihusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…