Kuna uhusiano kati ya period na mapacha?

Kuna uhusiano kati ya period na mapacha?

ADENT

Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
29
Reaction score
57
Hello,

Mimi ni pacha, Mara nyingi tangu Niko o level ilikua napata period tarehe 30 ya mwezi flani let's say (August) inaendelea SKU tatu au zaid ila tu inaisha tarehe ya mwezi ujao(September).
sasa wengine wanasema Nina possibility ya kuzaa mapacha japo mi ni pacha.

Je, Kuna ukweli??
 
hello,
Mimi ni pacha
Mara nyingi tangu Niko o level ilikua napata period tarehe 30 ya mwezi flani let's say (August) inaendelea SKU tatu au zaid ila tu inaisha tarehe ya mwezi ujao(September).
sasa wengine wanasema Nina possibility ya kuzaa mapacha japo mi ni pacha.
je
Kuna ukweli??
Hakuna ukweli wowote
 
Kichwa cha habari na ulichoandika ndani sijui ndio umemaanisha hivyo..... Hakuna uhusiano.

Ila kuwa mapacha huwa kunaongeza uwezekano wa wewe kuja kupata mapacha, japo si lazima iwe hivyo
 
Kichwa cha habari na ulichoandika ndani sijui ndio umemaanisha hivyo..... Hakuna uhusiano.

Ila kuwa mapacha huwa kunaongeza uwezekano wa wewe kuja kupata mapacha, japo si lazima iwe hivyo
anhaa
 
Duh mke wangu akizaa mapacha furaha yake itakuwa ni nomaaa...
Omba Mungu iwe kweli.

Ingawa kisayansi haipo kwa sasa
 
Amini unacho amini ..
Kwani kuna punje ya haradani ya ukweli katika imani yako...
 
Back
Top Bottom