Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Nawasalimu wakubwa habari zenu,
Nashindwaga kuelewa soka la Tanzania haswa kwa upande wa Dada zetu. Asilimia 90% wanaocheza mpira wa miguu wengi wao ni ma-tomboy.
Yaani utakuta mpaka bange anavuta; wanajiweka kiume kabisa hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa tomboy na kucheza mpira[emoji23] na hii kwa Bongo tu ulaya haya maujinga hayapo.