Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Sasa lipi la ajabu hapo? Wanawake hampendaniKuna tomboy mmoja nilimfanya akarudia asili yake ya kua mwanamke mwenye staha na anaejiheshimu.
Ukiona mwanamke ni tomboy basi ujue wanaume wote aliokutana nao hawakumfanya lolote la maana.
Mama usahi kurudi nyumbani mtoto mzuri nakusubiri nikukaange mrembo wanguSasa lipi la ajabu hapo? Wanawake hampendani
πππ Yani kisa ulimfanya uyo mmoja basi umegeneralize kua wote wako ivo, we jamaa bna. Huyo alikua anapretend tu hakua tomboy ila mdada anaejificha uko kwenye utomboy.Kuna tomboy mmoja nilimfanya akarudia asili yake ya kua mwanamke mwenye staha na anaejiheshimu.
Ukiona mwanamke ni tomboy basi ujue wanaume wote aliokutana nao hawakumfanya lolote la maana.
Mnataka mbaki wenyewe?Write your reply...ukiona mwanamke anacheza au kushabikia sana mpira wa miguu, ujue kuna tatizo mahali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Write your reply...ukiona mwanamke anacheza au kushabikia sana mpira wa miguu, ujue kuna tatizo mahali