Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa member active kwenye JamiiForums na mafanikio

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Niamini Mimi huwezi kuwa member actually active kwenye JF alafu ukawa huna mafanikio kwenye maisha magumu

Kama upo kwenye maisha. Magumu ni suala la muda

Kama ni jobless ni suala la muda tu
Watumiaji wengi wa JF wanafanikiwa

Niamini mimi
 
Tuna majumba....mandinga..😊☺️ yaani hakuna member ambae ni maskini wa kutupa humu na Kama yupo ni Jambo la muda TU.

Naunga hoja mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…