Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa member active kwenye JamiiForums na mafanikio

Pia nagawa IST imekua Ina bana nafasi pale nyumbani kwangu so uje na andiko zuri kwanini nikugawie wewe na sie mtu mwingine.

Nipo serious about it msichukulie masiala au mzaha..
Parking yangu imejaa kabisa kuna Jeep nafkria kumpea mtu yoyote kabla gari yangu mpya haijafika kutoka japan.
 
Tuanze na definition ya tajiri ni nini??

UTAJIRI NI NINI?

Utajiri unapimwa na Nini?

Aya wachumi wa Jf mnaitwa huku.
Hela , nyumba za kifahari zaidi ya moja , magari ya kisasa ya bei ghali zaidi ya moja biashara zaidi ya moja ten kubwa kubwa matajiri mfano dangote huyo ni tajiri halafu wafuate east afrika kama president ruto huyo nitajiri halafu wengineo kama kagame nitajiri sasa tuambie wewe unahela yakubadilisha mboga au?? Kati ya hao yupi mnarandana kwa mali
 
Mimi nipo uchumi wa Kati juu yaani naweza kupanda ndege Kama wengine wanavyo panda daladala mkuu 😊

Sina ukwasi wa kagame,dangote, ruto e.t.c

Ila Maisha ya kula nacho taka kuvaa navyo taka, nyumba, kausafir, familia na furaha ya moyo.
 
Ni vizuri mwaya mana hutegemei mtu
 
Back
Top Bottom