Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Huyu atakua amepost baada ya kuanza kulewa...π€£Mkuu kama mnakuwa na njaa muwe mnakula kwanza kabla ya kupost chochote.
Parking yangu imejaa kabisa kuna Jeep nafkria kumpea mtu yoyote kabla gari yangu mpya haijafika kutoka japan.Pia nagawa IST imekua Ina bana nafasi pale nyumbani kwangu so uje na andiko zuri kwanini nikugawie wewe na sie mtu mwingine.
Nipo serious about it msichukulie masiala au mzaha..
Tuanze na definition ya tajiri ni nini??Dr am 4 real PhD acha uongoo walahi kwa experience yangu sijawahi kuonawa mwana jf ni tajiri
Sisi ni matajir sema watu wanaleta masiala ooooh..Parking yangu imejaa kabisa kuna Jeep nafkria kumpea mtu yoyote kabla gari yangu mpya haijafika kutoka japan.
Nimecheka mpaka nimepaliwa na cocktail hapa.ACHA sifa mtoto wa Tibaijuka
Hela , nyumba za kifahari zaidi ya moja , magari ya kisasa ya bei ghali zaidi ya moja biashara zaidi ya moja ten kubwa kubwa matajiri mfano dangote huyo ni tajiri halafu wafuate east afrika kama president ruto huyo nitajiri halafu wengineo kama kagame nitajiri sasa tuambie wewe unahela yakubadilisha mboga au?? Kati ya hao yupi mnarandana kwa maliTuanze na definition ya tajiri ni nini??
UTAJIRI NI NINI?
Utajiri unapimwa na Nini?
Aya wachumi wa Jf mnaitwa huku.
Shauri yaoSisi ni matajir sema watu wanaleta masiala ooooh..
βΊοΈπ
Mimi nipo uchumi wa Kati juu yaani naweza kupanda ndege Kama wengine wanavyo panda daladala mkuu πHela , nyumba za kifahari zaidi ya moja , magari ya kisasa ya bei ghali zaidi ya moja biashara zaidi ya moja ten kubwa kubwa matajiri mfano dangote huyo ni tajiri halafu wafuate east afrika kama president ruto huyo nitajiri halafu wengineo kama kagame nitajiri sasa tuambie wewe unahela yakubadilisha mboga au?? Kati ya hao yupi mnarandana kwa mali
Ni vizuri mwaya mana hutegemei mtuMimi nipo uchumi wa Kati juu yaani naweza kupanda ndege Kama wengine wanavyo panda daladala mkuu π
Sina ukwasi wa kagame,dangote, ruto e.t.c
Ila Maisha ya kula nacho taka kuvaa navyo taka, nyumba, kausafir, familia na furaha ya moyo.
π³Pinga kwa Uzi wako
Mi nnayo π π πMkuu kama mnakuwa na njaa muwe mnakula kwanza kabla ya kupost chochote.