komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 903
- 1,361
Hii ishaletwa humu jamvini,kihalisia hakuna uhusiano wowote.Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hili swala ila sijapata jibu, naomba mwenye uelewa juu ya ili jambo anipe ufafanuzi kidogo. Katika baadhi ya misiba misiba mingi niliyowai kuhudhuria huwa nakutana sana na ili jambo, unakuta tarehe ya watu wengi kufariki huwa zinakaribiana na tarehe au mwezi wa mtu kuzaliwa au namba ya mwisho ya mwaka wa mtu kizaliwa zikawiana na namba ya mwisho ya mwaka ya mtu kuzaliwa. Kama ulikuwa ujagundua hiki kitu jaribu kufuatilia tarehe ya mtu kufariki na tarehe ya kuzaliwa
Una maana gani mkuu? Fafanua kidogoTrying to find your beginning could lead to you end.
Una maana gani mkuu? Fafanua kidogo
Una maana gani mkuu? Fafanua kidogo
Una maana gani mkuu? Fafanua kidogo
In the beginning God created heaven and the earth.Una maana gani mkuu? Fafanua kidogo
Hujawai sikia mtu kapata ajari lakini kabla ya kutokea ajari kuna kitu kama kwenye nafsi kilikuwa kinamkataza au kinamshurutisha kwenda mahali flani?Hamna uhusiano wowote mkuu,
Hamna uhusiano wowote kati ya tarehe ya kununua gari na tarehe ya ajali ya gari lako au kuharibika kwa gari lako.
Kufa kupo kwa aina nyingi.
Kuna vifo vya bahati mbaya, vifo vya makusudi, vifo vya uzembe na vifo halali vya kimazingira.
Kadhalika kuzaliwa kupo kwa bahati mbaya na kuzaliwa kwa kusudi la wazazi husika
Kwann iwe ivyo, wat is behind than?wataalamu wanasema eti watu wengi hufa karibu na birthday zao au baada ya birthday zao .
Mfano unakufa mwezi wa 7 birthday yako mwezi wa8 unakufa mwezi wa9 birthday yako mwezi wa 8