Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hili swala ila sijapata jibu, naomba mwenye uelewa juu ya ili jambo anipe ufafanuzi kidogo. Katika baadhi ya misiba misiba mingi niliyowai kuhudhuria huwa nakutana sana na ili jambo, unakuta tarehe ya watu wengi kufariki huwa zinakaribiana na tarehe au mwezi wa mtu kuzaliwa au namba ya mwisho ya mwaka wa mtu kizaliwa zikawiana na namba ya mwisho ya mwaka ya mtu kuzaliwa. Kama ulikuwa ujagundua hiki kitu jaribu kufuatilia tarehe ya mtu kufariki na tarehe ya kuzaliwa[/QUOTE
King majuto kazaliwa mwaka 1948. Kafariki tarehe 8-8-2018. Hizi 8 kwenye mwaka wake wa kuzaliwa na tarehe mwrzi na mwaka hazimaanishi chochote. Tuishi tu Kwa kumpendeza Mungu Kwa maana hatujui siku wala saa. Bwana ametoa na bwana ametwaa. Jina LA Bwana lihidimiwe.