KUNA UHUSIANO UPI KATI YA TAREHE YA KUZALIWA NA TAREHE YA KUFARIKI?

Kwa.kweli sijawahi kukutana na hili
Ila nimejiwazia tu nikafikiri labda kwa kuwa wengi hawajua tarehe za kuzaliwa kwa hiyo wanabuni tu
Siku ukiwa maeneo ya makaburi jaribu kusoma tarehe za marehemu walizozaliwa na tarehe walizofariki, pitia kwa makaburi kadhaa utagundua hiki kitu
 
Babu yangu alizaliwa mwaka 1929 tarh na mwezi hatujui ila anasema ulikuwa msimu wa palizi na kwa kule kwetu palizi haswa ni mwezi wa pili, ila alikufa 2016/8/31. Hii haina relation kabisa, Mi nadhani ni hisia zako tu.
 
Ndio maana nimesema mara nyingi, sio mara zote
 
Inawezekana kuna kitu kama " expiry date" lakini nadhani hicho kikiwa ni kifo cha uzeeni. Sina uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…