Kuna uhusiano wa kutoka kwa mimba na kufanya mapenzi?

Jaji matundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
251
Reaction score
92
Wasalaam JF, mimi nikijana nimeoa na sijafanikiwa kupata mtoto kwa sasa ila nime mbebesha mke wangu mimba na ikafikisha muda wa mwezi mmoja na nusu na kwa kipindi chote hicho sija kutana nae kimwili ku tokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu...Wiki iliyopita28/2/2014 nilikutana nae kimwili ilipofika juzi 5/3/2013 aliniambia anablidi damu inform of matone matone toka hiyo juzi mpaka leo bado hiyo hali inaendelea.

Naomba unisaidie kunijibia maswali haya kwani ndio yanayo nichanganya

Je mimi kutembea nae katika muda huo nilioutaja hapo juu nilikosea ?
Je kwa uelewa wako nini kimechangia hiyo mimba kutoka?
Je tatizo linaweza kuwa la mwanamke?

Nitakushukuru sana kama utakuwa mwelewa.
 
1. Mulika mwizi, hapakuna na mimba hapo.

2. Hakuna uhusiano wa kitabibu wa kufanya tendo la ndoa na kutoka kwa mimba,istoshe ni mhimu na inashauriwa kufanya tendo la ndoa wkt wa ujauzito.

3. Km unauhakika alikua mjamzito, hyo miscarriage haihusiani na kusex nae.
 
Hiyo mimba ulihakikisha kama ipo?

Mie nlimpa mimba nkathibitisha na nkawa nafanya mambo kama kawaida na hivi sasa tuna mtoto wa kiume.

Kama kweli alikuwa anamimba basi anatatizo lake binafsi, kwa maoni yangu hakuna uhusiano wowote kati ya kugegeda na mimba kutoka.

Nendeni hospitali mkapime kama mimba imetoka ili wamsafishe.
 

tulipima na tukajiridhisha kuwa ipo nashkuru sana kwa ushauri wako.
 
Ulikuwa unamuweka mikao gani wakati mnafanya tendo.? Maana vijana siku hizi mna mbwembwe kiasi mnawakunja wenza wenu kama samaki. Naamini kabisa kuna style za hatari mwanamke mwenye mimba changa akikunjwa na huyo mwanaume wake akashughulika ipasavyo :target: lazima mimba ichoropoke.
Hata hivyo pole kwa yote mola awape nguvu
 
Mkuu chuma mboga haishauliwi kufanya na mjamzito,kawaone madaktari haraka...
 
kuna baadhi ya madokta hawashauri kusex km mke wako mji wake wa mimba haufungi na mara nyingi hua wanawashona hizo njia za uzazi lasivyo mimba inatoka mie mwenyewe nilishauriwa hivyo kwa mke wangu na nilivyokutana nae haikupita ata wiki ikatoka tena ya miezi km miwili na nusu ivi....
 
Nadhan kutakuwa na sababu za kutoka hyo damu lakn haihusian na sex ndugu waone madaktar ukiwa pamoja na mwenz wako ili mjue nin tatizo
 

yaaa kama shingo ya kizazi(cervix) huwa haijafunga mimba hutoka tu hata bila tendo la ndoa,kawaida cervix inatakiwa kuwa imefunga mpaka wakati wa uchungu tu unapoanza maana hufunguka kadri mtoto anavyoshuka chini.

Hivyo kama cervix ni nzima ruksa kula tunda mpaka dakika ya mwisho ila tu kubadilisha mikao, upande ni mkao mzuri siyo kuning`inia juu ya tumbo unaweza ukastimulate uchungu hahahaha ikawa hatari tena.
 
size ya machine yako nayo inaweza ikawa oganigwe (kubwa) ikaleta uharbifu kwa tumbo
 
Inawezekana sana bro.kama mlango Wa kizazi haupostrong lazma itoke 2. Kama mashine inaujazo inaweza changia kutoka 3.style pia izingatiwe 4.kuna docta mmoja nimzuri katika field hiyo nitafute PM amewasaidia wengi 5.mwende Hosp kwa ushauri zaidi.5 usikate tamaa kila jambo na wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…