Jaji matundu
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 251
- 92
Wasalaam JF, mimi nikijana nimeoa na sijafanikiwa kupata mtoto kwa sasa ila nime mbebesha mke wangu mimba na ikafikisha muda wa mwezi mmoja na nusu na kwa kipindi chote hicho sija kutana nae kimwili ku tokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu...Wiki iliyopita28/2/2014 nilikutana nae kimwili ilipofika juzi 5/3/2013 aliniambia anablidi damu inform of matone matone toka hiyo juzi mpaka leo bado hiyo hali inaendelea.
Naomba unisaidie kunijibia maswali haya kwani ndio yanayo nichanganya
Je mimi kutembea nae katika muda huo nilioutaja hapo juu nilikosea ?
Je kwa uelewa wako nini kimechangia hiyo mimba kutoka?
Je tatizo linaweza kuwa la mwanamke?
Nitakushukuru sana kama utakuwa mwelewa.