Kuna uhusiano wowote kati ya kuacha sanaa(Msanii) na kuokoka au kumrudia Mungu?

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Nimeshuhudia wasanii wengi haswa wa mziki na maigizo wakiacha hizi kazi na kusema wameamua kumrudia mwenyezi Mungu,wengi wakitubu zambi walizozitenda,Je kuna uhusiano wowote kati ya kuwa msanii na kutenda dhambi
 
Nyimbo ni kazi za Shetani, hivyo kutumikia nyimbo ni kumtumikia yeye, nina maana hata kaswida, nasheeda pia kwaya zote ni muziki.
 
Wasanii wengi wanatumia ndumba ili ku maintains levels zao sasa wakifikiria vtu walivyofanya ndo wanaamua kutubu maana ni dhambi kwa Allah subhanau wataalah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…