Kuna uhusiano wowote wa breki za gari kuisha na utumiaji mafuta wa gari?

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
jaman wakuu,kwa wataalam wa magari,hivi kuisha kwa breki kunaweza sababisha high rate of fuel consumption? Hasa kwa automatic cars ndogo kama ist,vitz,duet n.k. Plz naomben jibu
 
High fuel consumption haiwezi sababishwa na break pads wear out . Ni mifumo tofauti
we utakuwa na matatizo ya akili unajua.., kwanini tu usinyamaze kama hujui unaloliongea. Brake pads kuisha na high fuel consumption vina uhusiano wa moja kwa moja.., its quite logical. Brake pads zinapokuwa incorrectly adjusted kiasi kwamba zikabana kugusa plate kabla hata hazijakanyagwa, ni kwamba engine itakuwa inatumia nguvu ya ziada kuiwezesha gari kusogea na at the same time zile brake pads zitakuwa zinaisha kabla ya muda wake. solution ni ku-readjust hizo brake pads ili zisibane sana kabla ya kukanyagwa.
 
Hivi swali ni kutaka kujua kama 'brake pads zilizokwisha zinasababisha high fuel consumption' au 'uishaji wa brake pads (properly fixed) unaendana na high fuel consumption'.

Nilivyosoma kwenye internet ni kwamba high frequency ya sudden braking inaendana na high fuel consumption rate!

Kwa kifupi kuna-factors nyingi zinazopelekea high fuel consumption jaribu ku-google utapata majibu yote!!
 
Hakukuwa na haja ya kutukana. Ukiwa mstaarabu unaingia gharama gani?
 
Hivi swali ni kutaka kujua kama 'brake pads zilizokwisha zinasababisha high fuel consumption' au 'uishaji wa brake pads (properly fixed) unaendana na high fuel consumption'.

Nilivyosoma kwenye internet ni kwamba high frequency ya sudden braking inaendana na high fuel consumption rate!

Kwa kifupi kuna-factors nyingi zinazopelekea high fuel consumption jaribu ku-google utapata majibu yote!!
Hii ni another possible explanation.., all in all braking na fuel consumption ni pete na kidole.
 
we utakuwa na matatizo ya akili unajua.., kwanini tu usinyamaze kama hujui unaloliongea. Brake pads kuisha na high fuel consumption vina uhusiano wa moja kwa moja.., its quite logical. Brake pads zinapokuwa incorrectly adjusted kiasi kwamba zikabana kugusa plate kabla hata hazijakanyagwa, ni kwamba engine itakuwa inatumia nguvu ya ziada kuiwezesha gari kusogea na at the same time zile brake pads zitakuwa zinaisha kabla ya muda wake. solution ni ku-readjust hizo brake pads ili zisibane sana kabla ya kukanyagwa.

always read and understand the question always. break pads wear and incorrectly adjusted beak pads ni vitu viwili tofauti
 
kwa hiyo ni sawa na kusema mtu anayeharisha uharo anakuwa anatumia nguvu kidogo ksukuma uharo ukilinganisha na yule anayekunya kitu kigumu hasa kinachotokana na kula dona na harage ?
 
we utakuwa na matatizo ya akili unajua.., kwanini tu usinyamaze kama hujui unaloliongea. Brake pads kuisha na high fuel consumption vina uhusiano wa moja kwa moja.., its quite logical. Brake pads zinapokuwa incorrectly adjusted kiasi

kwamba zikabana kugusa plate kabla hata hazijakanyagwa, ni kwamba engine itakuwa inatumia nguvu ya ziada kuiwezesha gari kusogea na at the same time zile brake pads
zitakuwa zinaisha kabla ya muda wake. solution ni ku-readjust hizo brake pads ili zisibane sana kabla ya kukanyagwa.
muheshimiwa naona umekosea kidogo,brake pads hazina adjustment ila brake pads zikiisha kupita kiasi zinasababisha piston zinazopushi brake pads kusizi na kusababisha brake binding na brake binding inasababisha high fuel consumption
 
beak pads hazina adjustment? thibitisha!
 
always read and understand the question always. break pads wear and incorrectly adjusted beak pads ni vitu viwili tofauti
Hicho unachokisema hakikutajwa independently, bali kilitajwa in relation to fuel consumption. sasa1+1=2, unataka ushahidi gani tena..?!
 
muheshimiwa naona umekosea kidogo,brake pads hazina adjustment ila brake pads zikiisha kupita kiasi zinasababisha piston zinazopushi brake pads kusizi na kusababisha brake binding na brake binding inasababisha high fuel consumption
Sasa kama huwezi kuadjust hizo brake shoes/pads, je zinapopungua unene wake due to usage, unazisogeza vipi kwenye plate ili ku-restore efficiency ya braking?!
 
kwa hiyo ni sawa na kusema mtu anayeharisha uharo anakuwa anatumia nguvu kidogo ksukuma uharo ukilinganisha na yule anayekunya kitu kigumu hasa kinachotokana na kula dona na harage ?

ha ha ha ha ha ha
 
mjadala mtamu endeleeno tupate maujuzi wakuu
 
Hii ni another possible explanation.., all in all braking na fuel consumption ni pete na kidole.
Nakukatalia moja kwa moja....otherwise useme break pads/drums zikijam zinaweza kusababisha ulaji wamafuta kuongezeka hapa nitakuelewa lakini kwa explanations zako bado kuna ombwe!
 
FRANCIS DA DON, ulitumia akili kujibu hapa, tatizo hukuwelewa mleta maada alichokuwa ameuliza, ulichojibu ni kinyume na alichouliza, unajua ulivyosema na n sahihi, na mm pia ningejibu hivyohivyo kama ulivo comment wewe kama swali lingers kuwa kujibiwa kama ulivoeleza.

next time you need to understand the topic before you start your useless comment.

we utakuwa na matatizo ya akili unajua.., kwanini tu usinyamaze kama hujui unaloliongea. Brake pads kuisha na high fuel consumption vina uhusiano wa moja kwa moja.., its quite logical. Brake pads zinapokuwa incorrectly adjusted kiasi kwamba zikabana kugusa plate kabla hata hazijakanyagwa, ni kwamba engine itakuwa inatumia nguvu ya ziada kuiwezesha gari kusogea na at the same time zile brake pads zitakuwa zinaisha kabla ya muda wake. solution ni ku-readjust hizo brake pads ili zisibane sana kabla ya kukanyagwa.
 
we utakuwa na matatizo ya akili unajua.., kwanini tu usinyamaze kama hujui unaloliongea. Brake pads kuisha na high fuel consumption vina uhusiano wa moja kwa moja.., its quite logical. Brake pads zinapokuwa incorrectly adjusted kiasi kwamba zikabana kugusa plate kabla hata hazijakanyagwa, ni kwamba engine itakuwa inatumia nguvu ya ziada kuiwezesha gari kusogea na at the same time zile brake pads zitakuwa zinaisha kabla ya muda wake. solution ni ku-readjust hizo brake pads ili zisibane sana kabla ya kukanyagwa.

napata wasiwasi kama hata wewe unajua unachoongea.
huyu mleta mada najua anazungumzia gari za kisasa ambazo zinatumia brake disc na pads.
kama una correct pads for a particular car there is no way they can be incorrectly adjusted.
mwisho kabisa,disc brake pads ni SELF ADJUSTING......kadiri zinavyoisha zinasogea zenyewe kwenye brake disc na kushika efficiently.

hata zikiisha kabisa zinaji-adjust ndio maana hata ukifunga brake utasikia zinakwaruza disc na efficient kupungua.
 
Back
Top Bottom