General8
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 996
- 862
Gari ndogo haitumiii brake shoes, inatumia brake pads, brake pads katikati yake kina wire ambao una act Kama sensor kutoka kwenye pad mpaka abs control boad, ukiona taa ya abs inawaka, possibility ya kwanza in kwamba brake pads zimefikia Kiwango chake cha mwisho, it means wire unakuwa unagusa drum, sasa ukisema kuna affect fuel consumption , how?, maana brake pads zikiisha, you can not adjust them, na pads doesn't couse any drag on the vehicle.