Kuna uhusiano wowote wa breki za gari kuisha na utumiaji mafuta wa gari?

Gari ndogo haitumiii brake shoes, inatumia brake pads, brake pads katikati yake kina wire ambao una act Kama sensor kutoka kwenye pad mpaka abs control boad, ukiona taa ya abs inawaka, possibility ya kwanza in kwamba brake pads zimefikia Kiwango chake cha mwisho, it means wire unakuwa unagusa drum, sasa ukisema kuna affect fuel consumption , how?, maana brake pads zikiisha, you can not adjust them, na pads doesn't couse any drag on the vehicle.
 
Ahsante kwa kunipatia elimu ya bure kabisa.Ila nahisi umekurupuka. Kwani hiyo self adjusting system ni fault proof?! By the way, gari za kisasa zina dual braking systems, yaan disc Mbele na drum nyuma. Je, na za drum ni self adjusting?!
 
RRONDO, HUYU jamaa alikurupuka, and you are so correct , huyu nudge Kama ana gari, namshauri afungue brake pad, hasa ile yenye wire nod atajua what we talking about here.

 
Ahsante kwa kunipatia elimu ya bure kabisa.Ila nahisi umekurupuka. Kwani hiyo self adjusting system ni fault proof?!

huwa sikurupuki kwenye magari.....brake system IS SUPPOSED TO BE FAULT PROOF. hapa sizungumzii FAULT ZA KUTOFANYA SERVICE NA UZEMBE WAKO NA FUNDI.......once brake system ikiwa faulty na ni fault ya utengenezaji hizo gari zitakuwa recalled....nafikiri unakumbuka kilichowakuta TOYOTA kule marekani na kwingineko duniani. karibu sana.
 
Gari za kisasa unazongumzia zinatumia dual braking system. Yaan disc Mbele na drum nyuma. Zile za nyuma zinspokuwa incorrectly adjusted huongeza ulaji mafuta
 

Bado OLESAIDIMU naye aje hapa tuondoe ubishi.
 
Last edited by a moderator:
Gari za kisasa unazongumzia zinatumia dual braking system. Yaan disc Mbele na drum nyuma. Zile za nyuma zinspokuwa incorrectly adjusted huongeza ulaji mafuta

at least now umeongea point. ila gari nyingi za kisasa ninazozungumzia mimi au [maybe nilizoendesha zina disc mbele na nyuma] mara nyingi naendesha na kudeal na VW,BMW,AUDI,VOLVO,LANDROVER ambazo zote nilizoona mimi zina disc mbele na nyuma, nilioona ni gari ya kisasa ina disc mbele na nyuma ina drum ni NISSAN NAVARA.

na hizo zenye disc mbele na nyuma zina kitu kinaitwa BRAKE WEAR SENSOR[USICHANGANYE HII NA ABS SENSOR]....ambazo zinakupa warning kama brake pads zako zimefikia kiwango cha kubadilishwa,kwahio gari za kisasa ni nadra sana brake kuisha hadi kuhatarisha maisha au kubadili perfomance otherwise utakuwa ume-ignore warning nyingi sana....
 
RRONDO, full respect on your comments, just hope huyu F DA DON anaelewa.

i like when people are talking sensible stuff and professionally.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…