Kuna uhusiano wowote wa IQ ya mtu na uwezo wa kukumbuka au kusahau vitu au matukio?

labda kama unapiga punyeto! ila kama unasugua bajada! unaweza kusahau ila kidogo tofauti na puchu!
 
Bado sijawaelewa hivi IQ inatafsiriwa kama Uwezo wa kukumbuka mambo yaliyopita au yaliyofundishwa au Uwezo wa Ku analyse mambo yaliyo mbele yako at that moment na kuyapatia ufumbuzi?labda niulize IQ ina direct rel na Intelligence?
 
Hicho unachouliza ndio swali hasa ninalotamani kujua kama upo uhusiano

Back
Top Bottom