Kuna ujinga mwingine hata kuuleta kwenye jamii unaona niujinga pia

Kuna ujinga mwingine hata kuuleta kwenye jamii unaona niujinga pia

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
20250220_164535.jpg
 
Sitii neno lakini watoto waliolelewa ama wanaolelewa na mzazi mmoja mbali na ugumu unafuu ama uzuri wa maisha basi hili swala la ma uncle au baba wa kambo Lina waathiri sana kisaikolojia aseeh

Mnaisema ahame wengine ndo nyumbani au mnafikiri ni kila mtu kapanga ? Pengine ndo tegemezi na yupo wa kiume tuu....

Msilazimishe kila mtu Aishi mtakavyo
 
Dogo ajue kwanza maza nae anahitaji faraja na kuchokonolewa

Mimi toka nijue ngono ni hitaji la muhimu kwa binadamu na viumbe vingine siku hz siwez mshangaa au kumzuia mtu kufanya hilo jambo,huwa nafurahia kuona mzee wangu anazichakata tena za vibinti
mzabzab
 
Back
Top Bottom