Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Asshukuriwe Mungu Marais karibu Dunia yote ni watu wazima, wazee wenye busara.
Mimi ndo ningekuwa Rais na vijana waliotekwa akili na Mange kimambi wanashangilia vikwazo ningeigeuza TRA iwe jeshi usu, Watanzania waminywe vizuri mpaka wajue kuwa hata hao watoa misaada hawategemei misaada kwa wengine. Ningejuongezea mshahara, ningeongeza mshahara wa watumishi na source kubwa ingekuwa kodi.
Hata kwa kilio ningehakikisha hakuna mmachinga anakwepa kulipa direct tax