Kuna ujumbe gani kwenye utopia drama series?

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa)

Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni"
Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo;
na pia "goyim".

Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia,
inayoitwa "Utopia Janus Scene".

Sikiliza,
Tafakari,
Chakata
AMUA kama ni kiburudisho tu au ni ujumbe.

Your browser is not able to display this video.
 
"Boy, dont think you are special because you have a vision and I dont"..

Moja ya maneno ya Commander Tamacti Jun kwenye series ya "SEE."
what makes you think I think I am special mkuu?
 
heri mtu mmoja angeelewa kinachoendelea.
kwa jinsi walivyo na kiburi, wanakuambia kile watakachofanya kwa sababu wanadai tuna macho ila hatuoni.
So, ni namna ya kutudhihaki.
 
drama hii inahusu nii hasa hasa?
 
drama hii inahusu nii hasa hasa?
kipande hiki kinahusu kuwachoma watu na kuingiza kwenye miili yao kitu ambacho kitawabadili vinasaba, kitasababisha watu wazizaane kwa vizazi vinne na wale wanaobahatika kuzaliwa wanakuwa na matatizo. Hicho kinachochomwa ni substance nyeusi tii - ambayo wanaita black goo.
 
mbona unanichonganisha na selekeli na haya maelezo yako
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda wazungu wana shauku kubwa ya kuweka mambo wazi... Nipo naifuatilia "the lost symbol"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…