Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Unaruhusiwa kufungua mashitaka ya ukiukwaji wa haki za kiraia na uvunjifu wa katiba kwasababu vimekataza nepotism kwenye mashirika ya uma na binafsi. Ubaguzi ni ubatili kisheria na unayo ruhusa ya kushitaki kwa kuwekana kwa misingi ya ubaguzi wa kikabila au ubaguzi wowote ule.