Kiutendaji ndani ya kampuni haina madhara na pengine ni nzuri watu wa aina moja kufanya kazi kitaasisi. Ila kijamii ni ubatili na ni kinyume na sheria na kanuni za uraia especially kwenye jamii yenye mchanganyiko wa watu wa jamii na makabila mengi tofauti.Hii kitu naiona kwenye uzi wa pili leo kuhusu kampuni na kabila
Kuna madhara gani kiuchumi kampuni kuajiri wafanyakazi wa kabila moja?