Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari za pilika wana wa jamii forums.
Kumekuwa na ukimya kwa mwezi mzima sasa, kati ya hawa wanasiasa wa CCM, ndugu Dkt. Bashiru Ally na Humphrey Polepole. Hawasikiki tena na mwezi umeisha siwasikii wawili hawa ambao ni watendaji wakubwa sana chamani.
Mnyika, Zitto, Habibu na wengine wa upande ule mbona wananguruma kila siku? Je wawili hawa mbona hawaungurumi tena ikizingatiwa uchaguzi upo mbioni?