Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Zipi hizo?Dhamira zao hazijafa, zinawasuta....
Mimi siwezi kulia, naona kama chama kinazidiwa utendaji na watani wao.
Corona sio tishio, wanaachaje kwenda ofisini muda wote huo?"... kama huna ulazima wa kutoka, kaa nyumbani kuepusha maambukizi". I hope watakuwa wamechagua kukaa nyumbani; in fact watakuwa wamefanya jambo jema sana kupambana na hili janga.
... wanaodai sio tishio ndio hao hao wanaoshauri kama huna la maana la kufanya "mjini" kaa nyumbani.Corona sio tishio, wanaachaje kwenda ofisini muda wote huo?
Wewe hujasoma hadithi ya Sungura mjanja na Simba ukiwa darasa la pili?Habari za pilika wana wa jamii forums.
Kumekuwa na ukimya kwa mwezi mzima sasa, kati ya hawa wanasiasa wa CCM, ndugu Dkt. Bashiru Ally na Humphrey Polepole. Hawasikiki tena na mwezi umeisha siwasikii wawili hawa ambao ni watendaji wakubwa sana chamani.
Mnyika, Zitto, Habibu na wengine wa upande ule mbona wananguruma kila siku? Je wawili hawa mbona hawaungurumi tena ikizingatiwa uchaguzi upo mbioni?
Hawamuelewi bwana mkubwaHabari za pilika wana wa jamii forums.
Kumekuwa na ukimya kwa mwezi mzima sasa, kati ya hawa wanasiasa wa CCM, ndugu Dkt. Bashiru Ally na Humphrey Polepole. Hawasikiki tena na mwezi umeisha siwasikii wawili hawa ambao ni watendaji wakubwa sana chamani.
Mnyika, Zitto, Habibu na wengine wa upande ule mbona wananguruma kila siku? Je wawili hawa mbona hawaungurumi tena ikizingatiwa uchaguzi upo mbioni?
Wanaseti mitambo!
Kwani Polepole naye ni Muislamu?
Kwani ILANI za uchaguzi unawaandalia wewe au??????Kwani Polepole naye ni Muislamu?
CCM always ipo one step ahead wengine wanafuatia kwa mbali sana.