Kuna ukimya sana wa ndugu zetu Dkt. Bashiru na Polepole, kulikoni?

Wanatayarisha ilani ya uchaguzi. Iko hatua za mwisho. Yataka umakini sana
 
Naona mmewamisi sana! Waliwaelezeni kuwa wamesitisha vikao na mikutano yote kwa muda sasa utawasikia wapi? Subiri watarudi.
 

Unatafuta majungu na umbeya tu!
 
Bashiru Dereva wake ana corona. Hivyo kajiweka karantini.
 
Hivi mzee wetu Philip Mang'ula anaendeleaje?

The good, the bad and the ugly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…