mbona skuizi kuna wapumbavu zaidi, wanadanganywa wakipakwa mafuta watatajirikawatu walidanganywa risasi zitageuka maji na wakaingia mkenge
Mafuta yapi arif weka sawa sentensi ieleweke,Kuna mafuta ya Mombasa,waarabu,mwamposambona skuizi kuna wapumbavu zaidi, wanadanganywa wakipakwa mafuta watatajirika
mwamposaMafuta yapi arif weka sawa sentensi ieleweke,Kuna mafuta ya Mombasa,waarabu,mwamposa
We unamaanisha yapi!?
Basi sawa mi nilifikiria vibaya na Mungu anisamehemwamposa
Vipi kuhusu na wale waliopigwa kiberiti na kibwetere ikiwa unaamini maji maji ni uongoHii ni hekaya ambayo hai ingii akilini, eti watu walidanganywa risasi zitageuka maji na wakaingia mkenge, huu ni uongo, hivi mnajua mlio wa bunduki nyie...
Huyo ndugu yetu, arudie kufikiri tena. Usimkumbushe vitu vya mbali anaweza sema alikuwa mdogo wakati yanatokea ya kibwetere.Vipi kuhusu na wale waliopigwa kiberiti na kibwetere ikiwa unaamini maji maji ni uongo
Kama pamoja na maaendeleo ya sasa, utandawazi, elimu na mitandao, bado watu wanakufa wakikanyaga mafuta ya mwamposa.Kwahiyo umefikira mambo ya kale mpaka ukahitimisha kuwa ni uwongo...
Hebu fikiria mtu mwenye akili timsamu katika kizazi hiki yaani mwaka 2023, anambiwa angefika mbinguni haraka ikiwa wangekufa kwa njaa na Mchungaji wao Paul Mackenzie, sasa utasemaje ni uwongo habari za 1805?Kama pamoja na maaendeleo ya sasa, utandawazi, elimu na mitandao, bado watu wanakufa wakikanyaga mafuta ya mwamposa.
Sembuse watu enzi hizo kufa kwa kudanganywa na Mganga wa kienyeji?
Anaona ishu kumwamini mgangaKama pamoja na maaendeleo ya sasa, utandawazi, elimu na mitandao, bado watu wanakufa wakikanyaga mafuta ya mwamposa.
Sembuse watu enzi hizo kufa kwa kudanganywa na Mganga wa kienyeji?