Kuna ukweli gani katika dhana ya kupanua njia kwa mama mjamzito?

Omuzirambogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
685
Reaction score
751
Kumekuwa na dhana ya wanaume kufanya mapenzi na wake/wenzi wao wajawazito kwa kisingizio cha kupanua njia ili mama asipate shida wakati wa kujifungua. Najiuliza kweli kuna ukweli?
1. Je, wenye vibamia wanapanua njia gani?
2. Je, wenye mipini wake zao hawapati shida katika kujifungua?
Naombeni jibu!
 
Suala la mimba hadi kuzaa linaendeshwa kwa mfumo wa homoni.

Hayo mengine hayahusiani kabisa
Mtazamo wangu,

Ni sahihi mkuu, NAHISI madaktari hua wanatumia busara ya kusema mume na mke waingiliane mara kwa mara ili kutanua njia ya uzazi, sema intent kuu ya kushauri hivyo si kutanua njia ya uzazi bali ni ku STABILIZE HORMONES kwa mama mjamzito.

Kuna mambo fulani hua yanatokea katika kujifungua mtoto, unakuta mtoto wa jinsia fulani anazaliwa akiwa na hormones za jinsia nyingine nyingi zaidi.

Yani mfano, mtoto unakuta anazaliwa wa kiume, ila anazaliwa akiwa na homones nyingi za kike, japo anakua mwanaume sawa sawa, ila hormones hizo unakuta zinamsababishia kuregea viungo, mwili kufuata shape ya kike, kua na sauti nyembamba, na baadhi ya tabia nyingi za kike kufuata n.k

Au mtoto wa kike kuzaliwa na hormones nyingi za kiume, anakua na sauti ya kiume, n.k
 
Mtoto alitaka kutoka kuna negative response hormones zinaachiwa kutoka kwenye ubongo na njia inafunguka. Huu ni uumbaji wa Mungu lakini compilations zinakuwepo na hizi ndiyo husababisha operations za cesarian
 
Ila kile kipindi kile unaweza kumkausha mtu akabaki anatoa povu tu
 
Hii ina ukwel kabsa, kujamiiana kipindi cha ujauzito kuna faida hizi:

1. Inasaidia kujifungua kwa mwanamke kuwe kwa urahisi zaid. Kufanya mapenzi ktk kipind hiki inasaidia kuipa misuli ya maeneo ya nyonga nguvu zaidi hasa kama atakuw anafika kileleni na hivyo urahis wakat wa kujifungua. Slogan ya "kupanua njia" huwa inatumika ili kuwaelewesha hata wale wagumu kuelewa.

2. Kupunguza safari za chooni. Inafahamika mwanamke mjamzito huwa anaenda chooni mara kwa mara kwa sabab ya haja ndogo. Hii husababishwa na kibofu kupungua ujazo kutokana na mkandamizo wa mtoto kadri anavyozid kuwa mkubwa. Kujamiiana mara kwa mara hupunguza hii hali kwa sabab ile ile niliyoisema hapo juu[emoji115][kukaza misuli].

3. Kufika kileleni kwa urahis zaidi. Ni rahisi kwa mwanamke mjamzito kufika kileleni kwa urahis zaid kuliko yule ambaye sio mjamzito. Hii husababishwa na kuongezeka kwa homoni ya estrojeni ambayo huongeza mzunguko zaidi wa damu maeneo ya nyonga/kiunoni.

4. Kuzuia madhara hasi ya ujauzito. Kujamiiana mara kwa mara kunaweza kupunguza complications za ujauzito km kifafa cha mimba.

5. Pia manii ya mwanaume yana protini iitwayo prostaglandini ambayo husaidia kulainisha shingo ya uzazi [cervix] hasa kipindi mama amekaribia kujifungua.

Pia kujamiiana kipindi cha ujauzito husaidia kupunguza stress kwa mama mjamzito, kujisikia vzr zaidi na kustrengthen intimate relationship.
 
Uko sahihi lakini sina uhakika kama hilo jambo linasababishwa na wao kutoingiliana kipindi cha ujauzito.

Genetics inachukua nafasi kubwa kwenye jambo hili
 
Vipi kuhusu namna ya kujua jinsi ya mtoto akiwa tumboni bila kutumia utrasound, kuna creteria zip unaweza zitumia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…