FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Habarini za mda huu wakuu?
Kuna kitu nmekuwa nikikisikia kinachoitwa number of angels or angels numbers mfano ukiona namba imejirudia zaidi ya mara 2 ujue kuna ujumbe unapewa je ni kweli?
Jana nimeangalia saa kwenye simu yangu nikakuta ni saa 11:11 sikutilia maanani Sana
Kilichonishangaza Leo pia nmeulizwa mda na mtu Ile naangalia mda nikakuta ni saa 11:11
Ndiyo mawazo yakaniijia kuwa huenda sio kitu Cha kawaida je Kwa wataalamu mnaofahamu katika number of angels 11:11 Huwa Ina maanisha kitu Gani?